Brain trust
Aug. 21st, 2013 05:44 pmOkay, I need a translation-- Swahili to English-- by tomorrow, and online translation sites are giving me garbled nonsense, especially on verse 2. Can anyone help? Signal boost, at least?
Ninataka kuingia mjini kwa Mungu.
Nitashinda, nitakaza mwendo nifike.
Nikishikwa na shida, nikichoka njiani,
Yesu unamiambia: "Uningojee!"
Naitwa na Yesu Kristo enzini mwake,
Nakimbia, kukawia hakuna faida
Wote wachelewao hawatapata taji
Mimi sitaki kinging ila uzima.
Ninataka kuingia mjini kwa Mungu.
Nitashinda, nitakaza mwendo nifike.
Nikishikwa na shida, nikichoka njiani,
Yesu unamiambia: "Uningojee!"
Naitwa na Yesu Kristo enzini mwake,
Nakimbia, kukawia hakuna faida
Wote wachelewao hawatapata taji
Mimi sitaki kinging ila uzima.